| Chagua Mkoa na Wilaya ili kutafuta bidhaa | |
| --------------- | |
|
Chagua Mkoa na Wilaya ili kutafuta huduma |
|
| --------------- | |
| ----- | |
|---|---|
| ------- | |
----------
xxxxxxxxxx
xxxxxxxxxx
---xxx---
---xxx---

jBidhaa ni aplikesheni ya kuwezesha wazalishaji na wafanyabiashara wa chini, kati na juu kuweza kutangaza bidhaa na/au huduma zao kwa ajili ya kupata ukaribu na wateja/walaji ambao watawapa bei kwa makubaliano ambayo mzalishaji ataridhika bila kupata hasara.
jBidhaa ni aplikesheni inayosimamiwa na Jira Bidhaa Enterprises, ambayo ni kampuni inayojihusisha na huduma za utumiaji wa Jira katika kufanikisha au kurahisisha utendaji kazi na kuwezesha ufanisi. Na tumejikita zaidi katika kutumia tehama ili kuendelea kuwezesha matumizi ya Jira (geografia) kwa kutumia Tehama (GeoICT)